Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, December 31, 2008

Vifaru vya Israel vikielekezwa Gaza , Palestina . Tayari wameshaua 365 na wanasema ndio mauaji yanaanza..

Posted by BM. on Wednesday, December 31, 2008
Posted by BM. on Monday, December 29, 2008

Bwana mdogo Dar kajifanya Polisi kavaa magwanda sijui kayapata wapi ...katika kamata kamata kamueka chini ya Ulinzi Polisi mwenzake ...Dili ikaharibika na sasa anapata kisago.. Short cut na matatizo yake maisha yake yametingishika..

Posted by BM. on Monday, December 29, 2008

hapo kimekolea...

Posted by BM. on Monday, December 29, 2008

Barack Obama akienda kuogelea Huko Hawaii akijiandaa na majukumu mazito kuanzia tarehe 20, Jan,2009 atakapoanza kazi katika Ikulu ya Marekani.

Posted by BM. on Monday, December 29, 2008

Barack Obama akiwa Kailua , Hawaii kwa mapumziko...

Posted by BM. on Monday, December 29, 2008

Taarifa ya kufiwa na bibi...Barack Obama.

Posted by BM. on Monday, December 29, 2008

Israel inafanya mashambulizi ya anga katika ukanda wa Gaza kwa kisingizio cha kuwaadhibu wanamgambo wa Hamas. Masambulizi ya maroketi yamelenga makazi ya raia na watu laki tatu wamekufa...Nii unyama usioelezeka.

Posted by BM. on Monday, December 29, 2008

Posted by BM. on Monday, December 29, 2008

Posted by BM. on Monday, December 29, 2008

Nik Wallenda, a circus high-wire daredevil and the seventh generation of the Flying Wallendas circus family, pedals a bicycle on a wire 12 stories above the street in Newark, N.J., Wednesday, Oct. 15, 2008. Wallenda was trying for a Guinness World Record for the longest distance and greatest height ever traveled by a bike on the wire.

Posted by BM. on Monday, December 29, 2008

Posted by BM. on Monday, December 29, 2008

Posted by BM. on Sunday, December 28, 2008

Heeeh!
Pretty girl went to church, to make a confession to apastor. The pastor asked her what the matter is. She then said my boyfriend did something bad to me. The pastor now kissed her and said did he do this to u? She said no. The pastor hugged her and said did he do this to u? She said no.The pastor now pulled off her cloth and said did he do this to u? She said no.The pastor now made love to her and said did he do this to u? She said no. then the pastor said, "What is the thing he did that is making u to be crying"?, Then the girl said, "He gave me aids. "The pastor then fainted....If u get this back that let's you know that somebody cares about u and wants you to stay protected.

Posted by BM. on Sunday, December 28, 2008

Mitindo ya uvaaji ughaibuni ...na imeanza kuigwa Bongo..Kila kitu?

Posted by BM. on Sunday, December 28, 2008

Stendi ya mabasi mjini Kibaha ikiwa katika matengenezo hivi karibuni (Na D.Simba)

Posted by BM. on Friday, December 26, 2008

Unaona sasa...hebu fikiria hatima ya mtoto huyu miaka 10 hadi 15 ijayo itakuaje .. Ndio taifa la keshoTanzania hilo?Picha imepigwa coco Beach , dar jana .

Posted by BM. on Friday, December 26, 2008

Ze Comedy...

Posted by BM. on Friday, December 26, 2008

Watu wengine bwana !

Posted by BM. on Friday, December 26, 2008

Lwiza akiongoza jahazi ...unaionaje hiyo !

Posted by BM. on Friday, December 26, 2008

Posted by BM. on Friday, December 26, 2008

Posted by BM. on Wednesday, December 24, 2008

Posted by BM. on Tuesday, December 23, 2008

Christmas Njema...

Posted by BM. on Tuesday, December 23, 2008

Mapambano ndio fasheni kila mahali wakati wa sikukuu . Jijini Tokyo kia mwenye biashara yake anataka naye afanye kitu fulani.

Posted by BM. on Tuesday, December 23, 2008

Eneo la Shibuya , Tokyo asubuhi hii, kwa usafi nawakubali hawa jamaa.

Posted by BM. on Tuesday, December 23, 2008

Mbilia Bel akijifua dakika za mwisho kabla hajapanda jukwaani jijini Dar . Ilikuwa katika kituo cha kukuza vipaji THT. Tayari amemaliza maonyesho yake jijini humo.

Posted by BM. on Sunday, December 21, 2008

Binti wa DRC Dessee akifanya mazoezi na Bozi Boziana katika studio ya Plus ,iliyopo Paris....Jamaa anataka kutoa album mpya.

Posted by BM. on Sunday, December 21, 2008

Abubakar Bozi Boziana akiwa na bendi yake ya Anti-Choc hivi karibuni jijini Paris, Ufaransa.

Posted by BM. on Sunday, December 21, 2008

Obama; Nani nimpange wapi...

Posted by BM. on Sunday, December 21, 2008

Mpaka soli zinakwisha Baback Obama..

Posted by BM. on Sunday, December 21, 2008

SERIKALI ya Tanzania inaendelea na harakati zake za kuwabaini wauaji wa maalbino ambapo sasa kuna taarifa za ndani juu ya watu walio karibu na mauaji hayo.
Taarifa kutoka Mkoani Shinyanga zinabainisha kuwa wanaohusika wilayani Bukombe, mkoani Shinyanga ni wafanyabiashara wakubwa ambao huwalipa wauaji mamilioni ya fedha.Mauaji hayo ya albino, yanajumuisha makundi manne ya watu, wakiwamo wale wanaoonyesha walipo albino hao, wanaochagua albino anayefaa; na wanaotenganisha nyama ili kupata mifupa.DC wa Wilaya ya Bukombe mkoani humo Magesa Mulongo alitoa maelezo ya kina katika katika kijiji cha Bunyihuna baada ya kuuawa kwa mtu mwenye ulemavu wa ngozi..Alisema kundi la wanaoonyesha palipo na walemavu hao wa ngozi wamekuwa wakilipwa kuanzia Sh 200,000 wakati wauaji hao hulipwa kati ya Sh milioni 40 endapo mifupa ya aliyeuawa itapimwa na ubainika kuwa ni yenye mali inayotakiwa.Alisema vipimo vinavyotumika kubaini mifupa yenye mali ni pamoja na wembe, sarafu ya zamani au mfupa kusogezwa kwenye radio na kama mawimbi yatacheza au radio kuzima, mfupa huo utakuwa na mali inayotakiwa.Alisema mifupa ya walemavu hao wa ngozi ikifikishwa kwa tajiri anaweza kulipwa hadi Sh milioni 75 “lakini mpaka iwe imepimwa,” alisema.Mkuu huyo wa wilaya alisema, wameyabaini hayo baada ya kuwakamata wahusika wapatao saba wanaojihusisha na mauaji hayo katika tukio la Bukombe na tukio jingine lililokwama la wilayani Kahama, ambapo waliweka mtego baada ya kupewa taarifa za siri na raia wema la kutaka kuuawa kwa albino mmoja."Tumebaini siri nzito katika mauaji haya ya albino; na hasa baada ya kuweka mtego wilayani Kahama ambapo wahusika walijipanga, wakavaa magwanda yao na kuficha sura zao na baadaye wakampigia simu tajiri yao aliyepo wilayani Igunga mkoani Tabora kuwa wako tayari kwa shughuli hiyo na walipokusanyika wote tayari kwa mauaji hayo, tukawakamata na kuanza kuwahoji," alisema.Aliongeza kuwa, katika mahojiano hayo, alikuwepo pia mganga wa jadi aliyekamatwa na viungo vya albino wilayani Bukombe, ambaye naye aliwaeleza hatua kwa hatua jinsi wanavyotekeleza mauaji hayo, malipo wanayopewa na matajiri wao na namna anavyopima mifupa hiyo ili kutambua yenye mali."Tulichokibaini ni kuwa, wachimba madini na wavuvi hawahusiki sana, bali wanachokitaja ni kwamba mifupa hiyo inatakiwa sana na matajiri wakubwa," Mkuu huyo wa wilaya alisema.Alisema katika tukio la Shilela wilayani Kahama, wakati wa zoezi la kuwatambua lililofanywa katika kijiji hicho, mama mzazi wa binti aliyeuawa alimtambua muuaji mmoja na yeye alikiri kuhusika katika mauaji hayo

Posted by BM. on Saturday, December 20, 2008

hata kama una hasira unatabasamu tu! ze comedy wakiwa na Makamu wa Rais Dr. Alli Mohamed Shen mwanzoni mwa mwezi Desemba. Pozi la kisanii...

Posted by BM. on Saturday, December 20, 2008
Posted by BM. on Saturday, December 20, 2008

Dr.Jakaya Kikwete.

Posted by BM. on Friday, December 19, 2008

Eeh!

Posted by BM. on Friday, December 19, 2008

Idhaa ya Kiswahili ya Redio Japani huwa inaandaa mafunzo ya lugha ya Kijapani kwa watumishi wake nami nilibahatika kuhudhuria nondoz ya miezi mitatu...Arigato Gozaimasu. Picha Te... te na mwalimu wangu Bi. Hirata baada ya kunikabidhi cheti jana , Jengo la NHK, Tokyo

Posted by BM. on Friday, December 19, 2008

Wanafunzi kutoka idhaa za Indonesia,Thailand na Vietnam nami mpiga picha..

Posted by BM. on Friday, December 19, 2008

Mwalimu Hirata akitupa mazoezi ya Kijapani...

Posted by BM. on Friday, December 19, 2008

Kitabu muhimu cha kujifunza kijapani kwa wageni hapa Japani ...nami nimekichungulia..mmh!

Posted by BM. on Thursday, December 18, 2008

Mwanamuziki kutoka DRC Mbilia Bel amekwishatua Bongo akiwa na wanamuziki wenzake 24 kwa maonyesho kadhaa ...akiwa ktk pozz...

Posted by BM. on Wednesday, December 17, 2008

UDA...

Posted by BM. on Wednesday, December 17, 2008

Graca na Winnie..

Posted by BM. on Wednesday, December 17, 2008

India-sFri za mikoani...

Posted by BM. on Tuesday, December 16, 2008

Mwendo sasa..

Posted by BM. on Tuesday, December 16, 2008

Russia safari Hii...hadi mwakani!

Posted by BM. on Tuesday, December 16, 2008

Nasreem Karim , Mrembo wa Tz ameshindwa kufurukuta katika mashindano..

Posted by BM. on Tuesday, December 16, 2008

Katibu wa fedha mstaafu Gray Mgonja mikononi mwa Sheria; Yuko Keko hadi tarehe 29, Desemba.

Posted by BM. on Monday, December 15, 2008

Theluji ikidondoka katika mtaa wa Garden huko New Orleans, Marekani leo.

Posted by BM. on Monday, December 15, 2008

Helikopta ikijiandaa kumuokoa mjapani mmoja kati ya wawili aliyekwama kwa siku sita katika kilele cha mlima Aoraki Cook nchini New Zealand walikuwa wakifanya majaribio ya kufika kileleni wakati wa baridi . Mwenzake alifariki dunia kutokana na baridi kali kabla ndege hiyo haijafika katika eneo hilo..