tag:blogger.com,1999:blog-6241608832089710725.post3651326787303511576..comments2023-11-03T00:17:01.954+09:00Comments on MIRINDIMO: Nimezipenda ...BM.http://www.blogger.com/profile/00607073711023717980noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6241608832089710725.post-67386995335216986542010-09-28T06:20:40.976+09:002010-09-28T06:20:40.976+09:00Mambo ya siasa pembeni, picha hizi zinaonyesha kiw...Mambo ya siasa pembeni, picha hizi zinaonyesha kiwango cha juu cha ubinadamu na zinagusa hisia sana. <br /><br />Nadhani huyu ni rais wa kwanza kufanya hivi na kwa hili anajiweka karibu na wananchi wake kwani anaonekana kuwa ni mtu wa kawaida na mwenye kujali shida zao.Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.com