Mlo ukimsubiri mheshimiwa Obama, Pera lililosagwa , jibini na biskuit .Pembeni kukiwa na taarifa ikimsubiri akifika tu ataarifiwe. . Kutokana na kuchelewa kikaoni ilibidi chakula kifungwe kwa nailoni. Kila kitu kimekaa mahali pake.
Dira Ya Dunia
2 hours ago

0 comments:
Post a Comment