Bw. Amani Paul , Mtanzania anayeishi hapa Tokyo, Japani leo alitembelea studio zetu za NHK akiwa ameambatana na mwanawe J.Hiyo ilikuwa pozzzz ya studio . Ilikuwa ziara tuliyoifurahia sanaaaa.
Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Redio Japani Anna Kwambaza akiwa na mgeni wetu Mtoto J katika ushoroba wa studio za NHK , Tokyo hii leo.
Dira Ya Dunia
7 hours ago
Dar Es Salaam Time
Tokyo Time
3 comments:
Ana Kwambaza ni ndugu yake Potna Kwambaza?
Ni auntie...
Ni auntie!
Post a Comment