

Utumikishaji wa watoto katika masuala ya Kijeshi unapigwa vita kote duniani lakini bado baadhi ya mataifa hususan vikundi vya waasi huendelea na vitendo hivi. Hebu imejin hawa ni watoto wako...
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Saturday, August 08, 2009

Huyu ni Dalia Mogahed ni mchanganuzi mwandamizi (senior analyst) na mkurugenzi mkuu wa Gallup Center for Muslim Studies nchini Marekani alichaguliwa na Rais Obama mwezi Aprili mwaka huu kuwa mshauri wake wa masuala yanayowahusu Waislamu nchini Marekani.
Wazazi wa Dalia walihamia Marekani takriban miaka thelathini iliyopita, akiwa na miaka mitano. Hivi karibuni akiashirikina na Profesa wa sayansi jamii, John Esposito wameandika kitabu kinachoitwa “Who Speaks for Islam?”Mogahed alipata shahada yake ya kwanza ya uhandisi kemia na shahada ya uzamili ya MBA kutoka chuo kikuu cha Pittsburg. Mogahed anaishi Washington D.C. na mumewe na watoto wao wawili wa kiume. Bila shaka mtu muhimu sana kwa taifa la wamarekani...
Posted by
BM.
on
Saturday, August 08, 2009
Posted by
BM.
on
Saturday, August 08, 2009
Posted by
BM.
on
Saturday, August 08, 2009
Posted by
BM.
on
Saturday, August 08, 2009
Posted by
BM.
on
Saturday, August 08, 2009
Posted by
BM.
on
Saturday, August 01, 2009
Posted by
BM.
on
Saturday, August 01, 2009
Posted by
BM.
on
Saturday, August 01, 2009
Posted by
BM.
on
Saturday, August 01, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)















Dar Es Salaam Time
Tokyo Time