Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, August 08, 2009



Polisi wakiwalinda Raia wawili wa Bulgaria wanaotuhumiwa kuiba mamilioni ya pesa kwenye ATM za Bongo. Nedko Stanchav(shoto) na Stela Nedelcheva(kulia) Wakirudishwa Kituo cha kati baada ya kumkataa mkalimani waliyepewa.Wazungu na pea na wabongo...eeh kazi kweri kweri...

Posted by BM. on Saturday, August 08, 2009



Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Rose Mhando akiwa na kikundi chake cha kwaya , akiwasa moto katika harakati za kuitambulisha Album yake "Nibebe" uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Posted by BM. on Saturday, August 08, 2009

Hii ni shughuli ya kila siku kwa wanafunzi wa miji ya Tanzania hususan Dar es salaam, Usafiri shida...Hapo Mbezi kwa Yusufu du!...

Posted by BM. on Saturday, August 08, 2009

Lango la mashariki la kuingia Stendi ya mabasi; mji kasoro bahari-Morogoro..

Posted by BM. on Saturday, August 08, 2009


Safari ya Kijijini...kuyapa burudani macho..hiyo ni Misitu ya kwetu Mkuyunii! , Uluguruni...Morogoro.

Posted by BM. on Saturday, August 08, 2009


Afande wangu akila pozi ...

Posted by BM. on Saturday, August 08, 2009


Nami nilikuwepo..

Posted by BM. on Saturday, August 01, 2009


Kama hujafika hapo ...bass hujafika dar..

Posted by BM. on Saturday, August 01, 2009

.
Pilika p[ilika za asubuhi...

Posted by BM. on Saturday, August 01, 2009


Mdau Kigwazo akisuuza roho yake na nanihii katika muziki mnene huko Kiluvya Pub, Kibaha.

Posted by BM. on Saturday, August 01, 2009


Jukumu muhimu la utunzaji wa mazingira...

Posted by BM. on Saturday, August 01, 2009


Flashii ya kushitukiza..

Posted by BM. on Saturday, August 01, 2009


Mie sijaelewa wewe je!

Posted by BM. on Saturday, August 01, 2009


Mlinzi akiwa kazini...

Posted by BM. on Saturday, August 01, 2009


Ukiingia kwenye nyumba za kiafrika ukakutana na picha kama hii ukutani utajua tu...