Raisi Robert Mugabe na Waziri Mkuu Morgan Tsivangirai bado "hawajafahamiana" juu yanani awe wapi katika baraza la mawaziri hadi jana , wameamua kila mtu aendelee na wazifa wake , siku mbili zijazo wazungumze tena. Wanatuambia mazungumzo yalikuwa "Makini na yenye mwelekeo mwema"??
Dira Ya Dunia
5 hours ago
Dar Es Salaam Time
Tokyo Time
0 comments:
Post a Comment