Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, October 03, 2008

Artist akiwa kazini katika viwanja vya Yoyogi karibu na NHK jijini Tokyo. Katika viwanja hivi kila mtu ana fursa ya kufanya anachotakap; kucheza mpira, kupiga ngoma; kuimba; piga muzikip; kufanya pikiniki, kupumzika nakadhalika. Na viko vingi hapa jijini Tokyo. Bongo tungekuwa na walau kiwanja kimoja kama hiki tungejivunia sana! Nitakuletea mandhari ya bustani hii kwa undani zaidi hapo kesho.

0 comments: