Waziri Mkuu, Mizengo Kayanda Pinda katika mazungumzo Waziri wa Nchi wa Ghana, Mh. S. Boafo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kotoko, Accra, Ghana. Mh. Pinda anahudhuria mkutano wa sita wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika, Caribbean na Pasifiki akimwakilisha Rais Jakaya Kikwete. ...Ilipigwa 30/09/08 na PMO.
GHALA LA MANDOO KUNUFAISHA WAKULIMA BABATI
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment