Kesho huko Tanzania ni siku ya mapumziko kumkumbuka hayati Mwalimu Nyerere. Nami wacha nikukumbushe. Mwalimu katika ujana wake. Kutoka Kushoto. Raisi wa Kwanza wa Zambia Kenneth Kaunda, Mwalimu, Hayati Jomo Kenyatta , Raisi wa kwanza wa Kenya, Hayati Milton Obotte , Raisi wa kwanza wa Uganda.
Meya ‘Shetta’ kuja na goli la Meya
10 hours ago
Dar Es Salaam Time
Tokyo Time
0 comments:
Post a Comment