Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, October 19, 2008

Badhi ya wachezaji wa timu ya Tanzania iliyoshiriki katika mashindano ya Olympiki mwaka 2008 huko Beijing , China wakiwa nyumbani kwa balozi wa Tanzania nchini humo. Wapili kulia ni Komrade Robert Luwanda , Mkurugenzi mtendaji wa Kiluvya Pub iliyopo Tanzania aliyekwenda huko kushuhudia mashindano hayo. "haikuwa rizki" hatukupata medali.

0 comments: