Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, October 17, 2008

Hassan Mhelela , Mtangazaji wa BBC akitafakari la kusema akiwa Kiluvya Pub ambako alikaribishwa kuona kile kilichopo hapo. Anayemuangalia ni Charles Hillary Kulia na kushoto Said Yakub.

0 comments: