Fedha ya zimbabwe imeshuka thamani kwa asilimia millioni 2.2 kiasi cha kuilazimisha serikali kutengeneza noti za shilingi billioni moja ili ziingie kwenye mzunguko. Uchumi hauleweki.
Post a Comment
0 comments:
Post a Comment