Wananchi wengi wa Japani wanategemea treni kwa safari nyingi za ndani. Idadi ya watu wa jiji la Tokyo ni takriban Millioni 10 ingelikuwaje wangetegemea daladala kwa usafiri wa ndani ingekuwa balaa! . Nami nilikuwemo kunako chombo.
AFCON 2025: Tanzania kuishangaza Nigeria leo?
15 minutes ago
Dar Es Salaam Time
Tokyo Time
0 comments:
Post a Comment