Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, January 06, 2009

Sherehe ya kuuanza mwaka mpya wa 2009 kwa watanzania wanaoishi nchini Japani ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita eneo la Sagamihara hapa JP .Kulipambazuka vilivyo. washindi katika mashindano ya kusakata rumba, waliopendeza na bahati nasibu walipatikana...ilikuwa shughuli!

0 comments: