Alama ya jiji...ushanfahamu! Hili ni jiji la Yamato nchini Japani liko nje kidogo ya Tokyo...Lina umaarufu wake . taarifa zaidi baadaye.
Mtaa wa madukani ..Yamato ..hukosi kitu mkubwa hapo..
Parking..Ingekuwaje kila mtu angepaki anapopataka...pasingetosha. uongo?
Simama kwanza soma maelekezo...
WANADIPLOMASIA KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII NCHINI.
44 minutes ago
0 comments:
Post a Comment