Basi hiyo ndio njia muafaka ya kuchoma nyama kule kwetu Aru..arusha Kweli.
Shamba la mtama wilayani Hai..
Miaka michache iliyopita Mlima Kilimanjaro ulionekana hivi , lakini sasa hivi shughuli za kibinaadamu, mabadiliko ya tabia nchi na masuala mengine yamefanya theluji iyeyuke kileleni.
MASHIMBA MGOMBEA UDIWANI KATA YA MABWEPANDE
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment