Jiji la Tokyo limekuwa baridi hasaaa kwa theluji. Sijui wezetu huko Marekani Kaskazini na nchi za Scandinavia kaskazini mwa Dunia...du poleni sana . Hapa si saaana lakini imo nayo.. Eeh kibaridi kimekolea ..picha hiyo imepigwa kupitia dirishani , nyumba ninayoishi hapa mtaani....duh!
Njia ya treni ilipambwa na theluji japo haikuzuia treni kupita...
Muonekana ya bustani ya Yoyogi Koen barafu ilipotulia kudondoka ..
Kijinjia cha kuelekea kibaruani , jengo la utangazaji la NHK-Japani pembezoni kumepambwa na theluji.
Donald Trump atangaza vita vya kibiashara dhidi ya ulimwengu
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment