Nchini Japani kuna utaratibu ambao nauona ni mzuri. Kuna siku ambayo watu hujiandikisha majina yao katika ofisi ya NGO fulani halafu husambazwa maeneo fulani fulani kufanya usafi kwa kujitolea. Utaratibu huu ungefanyika kwentu Afrika Mashariki ungependeza sana , au unasemaje mdau!
Shughuli za usafi jiji Tokyo leo J2.
PPRA, ZPPDA Zasaini Makubaliano Kuenzi Miaka 60 ya Muungano
29 minutes ago
1 comments:
Ni kweli kaka utaratibu huo unafaa sana hapa Jiji Dar es salaam.
Post a Comment