Pia nilibahatika kufika katika bandari ya Yokohama....hii ndio bandari kubwa nchini Japani na huwezi kuizungukia yote kwa mara moja. Nilichofanya ni kupitisha macho upande huu , nawe unaweza kuona nilichokiona!
Sehemu ya bandari ya yokohama...
Kaupepo kapo hapo...ndipo nilipoteremka China town ndani ya Yokohama...
Mitaa hiyo ni ya wachina , kuanzia vyakula, aina ya majengo, watu wake na hata pilikapilika za hapo...picha zaidi za eneo hilo nitazitundika muda si mrefu...
Kwanini hauhitaji tena 'kava" la simu yako?
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment