Waislamu kote ulimwengu leo wanakamilisha funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya kufunga na kujizuia kufanya mambo yanayomchukiza Mungu kwa kipindi cha mwezi mzima. Waislamu walio wengi kesho Ijumaa watafanya ibada ya Eid el fitri ingawa baadhi ya madhehebu walisherekea sikuu hii leo.
MIRINDIMO inakupa mkono wa Eid , Eid Mubarak......
Qasda...Kama ingelikuwa kule kwetu ...Dufu hapo ndio mahali pake..
Shinda Samsung A25 Ukicheza Super Heli na Meridianbet
51 minutes ago
0 comments:
Post a Comment