Wakati huu dunia inabadilika na kiwango cha ufahamu kinakua kwa kasi sana wale jamaa wanaojiingiza kwenye hiyo inayoitwa Comedy , Masanjas, Jottyies na wenzake waangalie hii wanaweza kuambua kitu. Na wasomi wenye shahada za uzamifu na uzamili nao wasijiweke nyuma , hii inalipa...acha tu....haya angalia !
Maoni ....!
TUSUBIRI MAAJABU YA MEZA KUPINDULIWA LUPASO
50 minutes ago
1 comments:
Msulwa hii ni kali kweli, nimecheka hadi kidogo nivunjike mbavu.
Post a Comment