Safari zangu za Yokohama , Fukuyama na hiroshima zimeniachia kumbukumbu fulani fulani kichwani...wacha tuone pamoja kwa njia ya picha...
Nimependa mtandao huu wa barabara sambamba na reli....laiti tungeuiga katika miji yetu kule nyumbani ingekuwa safi sana...wacha tusubiri.
Dira Ya Dunia
5 hours ago
Dar Es Salaam Time
Tokyo Time
0 comments:
Post a Comment