Mbunge mpya wa Jimbo la Kondoa Kusini Mh. Juma Nkamia akikumbatiana na mfanyakazi wa TBC Florence Dyauli , pembeni akiponekana Christine Chokunegela , mtangazaji wa TBC -Taifa katika viwanja vya bunge jijini Dodoma.
Nkamia aliwahi kuwa mfanyakazi wa TBC kabla ya kwenda VOA kabla hajaukwaa ubunge..
Dira Ya Dunia
5 hours ago
Dar Es Salaam Time
Tokyo Time
0 comments:
Post a Comment