Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, March 08, 2011

Iangalie hiyo picha vizuri , mmoja kati ya watoto hao ni mtu maarufu sana duniani...umemgundua?

3 comments:

Subi Nukta said...

wa kwanza kushoto hapo (mvulana na suti yake maroon/nyekundu) si Joseph Laurent Kabila kweli? Mnisamehe kama nimechapia, nimejitahidi kung'amua!

Anonymous said...

Msulwa said: Umepata Da Subi...hongera sana. Inatukumbusha jambo kubwa la kuwathamini na kuwaandaa watoto wetu , huwezi kujua! Bila shaka Quiz imefunga...take 5.

Mzee wa Changamoto said...

Nisingemjua hata kama zawadi ingekuwa NCHI
Duh!!
Subi anaangalia saana "chemsha bongo" huyu