Moja ya mahojiano ya kusisimua baina ya Mkuu wa Idhaa ya kiswahili ya Umoja wa Mataifa -UN Bi. Flora Nducha na Raisi Mstaafu wa Tanzania Mh. Benjamini Mkapa (Pichani). Unaweza kuzipata habari nyingi za UN , mahojiano na picha kwa kubofya hapo kulia kwako kwenye mtandao wa UMOJA wa MATAIFA kwenye safu ya marafiki.
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Saturday, March 05, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment