Idhaa ya kiswahili ya Redio Japani-NHK imepata mtangazaji mpya Bi. Upendo Kimaro, na alianza kuwa hewani 'Live' kuanzia jana na hii leo J4. Katika siku ya kwanza Mirindimo ilipata picha zake , wakati akisoma habari na baada ya....Take 5 dada U. Unaweza kumsikiliza kwenye mtandao wa NHK-Swahili.
Huuuuuf ....!
TUSUBIRI MAAJABU YA MEZA KUPINDULIWA LUPASO
2 hours ago
1 comments:
Hongera sana NHK kwa kupata ladha nyingine kutoka Chaggaland.Kule tunasema nji na siyo nchi.Kaazi kweli kweli.
R.Njau
TZDAR
Post a Comment