Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, April 16, 2012

Hebu wajuzi wa mambo niambieni ...sanmu hizi za watu wasio na nguo zimetapakaa Ulaya , Marekani nahuko Japanikulikoni... inawezekan kuna sabu za kihistoria, kijamiii au kitu gani...elimu hapo muhimu!

0 comments: