Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, January 09, 2009

Mh.Sophia Simba , waziri wa nchi Utawala bora amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa UWT baada ya kuwashindaBi.Kahama na Bi. Masunga. Uchaguzi uliojaa vitimbi umemalizika. Pichani Mh. Simba akisalimiana Bi. Condoleeza Rice alipokuja Tanzania.

0 comments: