Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, January 07, 2009

Siku chache zilizopita kulikuwa na kikao muhimu sana nchini Japani ambacho kiliwakutanisha watanzania wanaoishi maeneo mbalimbali ya Japani chini ya jumuia inayojulikana kama Tanzanite. Picha juu..Viongozi wakisikiliza hoja za wajumbe...

0 comments: