Naibu Mufti wa Tanzania , na shekhe mkuu wa Mkoa wa Lindi Allhaji Suleiman Gorogosi amefariki dunia. Chanzo cha taarifa kinasema kuwa Shekhe Gorogosi aliondoka Dar kwa ndege hadi Mtwara ambako alichukua gari akielekea Lindi njiani tairi la gari likapasuka na gari ikapinduka. Kifo kikamchukua. Taarifa zaidi baadaye. Inalillah wainah rajhuun!
MATOKEO YA USAILI TRA KUTANGAZWA APRILI 25.2025
2 hours ago
1 comments:
inna lilah wa inna ilaiyhi rajuun
Post a Comment