Disco la uhakika lilifanyika siku chache zilizopita katika ukumbi wa SAGAMINO TROPICAN PUB , uliopo karibu na kituo cha train cha Sagamino (Sotetsu line)nchini Japani. Tunakusogeza ndani ya Ukumbi huo kushuhudia baadhi ya vishangwe! We acha tu!
Full Shangwe!
Kwa nini Iran iliamua kuishambulia Israel?
1 hour ago
Dar Es Salaam Time
Tokyo Time
0 comments:
Post a Comment