Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, April 09, 2010
Labels:BM

Hapa ni shibuya , Katikati ya Jiji la tokyo nilikopata mlo wangu wa mchana leo. Nyama za kuchomwa kiaina..



a href="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXnLNb2I-XRS6tsF75qQe-JfnhboJ18XHBB5_1m7Oik-cFmSlTKs_Ytq7aVCBQeqJA6fDjZvfZaJ5AihJ2n7RdH5EZ7K7sw69iXFc3n7iV6opby9oz10xRJKx7vfiag15TG3k-TOXmBpU/s1600/PICT0013.JPG">a


Waturuki na Wa-Syria wamechangamkia sana biashara ya vyakula hapa Tokyo. Leo "J1" nilivinjari katika eneo la Shibuya nikakutana na menyu hii maarufu. yale maandalizi tu ya nyama yamenifurahisha. Ila nimechukia kitu kimoja "No Mfupa" Why???



Mmmh ntamu. JIna la msosi huu silijui lakini bila shaka kuna nyama, mkate , wali Mayonaiz ,nyanya na viambato vingine

2 comments:

Anonymous said...

Hiyo nyama inaitwa "SHAWARMA", Kawaida hufungwa (rolled) kwenye pita bread (wengine wanaita arabic bread au lebanese bread) hiyo nyama, nyanya, vitunguu na tahina ni tamu sana na restaurant nyingine wanakuletea kwenye sahani na mikate ,salads ,humus ,tahin na vikorombwezo vingine ujiserve mwenyewe upendavyo.
sijawahi ona na wali lakini inaonyesha ni nzuri pia LUNCH la nguvu hapo!

Anonymous said...

hello kaka mambo nimie john mkenya tulikutana na wewe at kenya embassy pary plz unaweza ukanitumia pics ulizo tupiga at jnk61@hotmail.com