Tulialikwa , tukahudhuria...Ni chakula cha pamoja katika mgahawa wa Sizeria , Shinjuku....jijini Tokyo, na baadaye ilifuata Hotuba ya 'mgeni rasmi' Kidume wa USWAZI......itifaki ya mahala hapo ilizingatiwa..
Haitebo
Waandamizi...
Mirindimo iliwakilishwa...
Tumeshiba...picha ya kumbukumbu ...Pwaa!
Dira Ya Dunia
5 hours ago
Dar Es Salaam Time
Tokyo Time
0 comments:
Post a Comment