Jana Ijumaa, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Tokyo hapa Japani walitutembelea katika Jengo la Utangazaji la Redio Japani NHK. Walipata fursa nzuri kujionea mazingira ya kazi zetu , tukafanya mahojiano na baadaye kumbukumbu ya picha!
Picha ya chini; Kutoka kushoto waliosimama-Hiroshi Ikeuchi (Mjapani anayeifahamu vyema Tanzania), Julia Mlwilo na Eustadius Francis. Waliokaa Mie na Cornel Kibona.
Donald Trump atangaza vita vya kibiashara dhidi ya ulimwengu
21 minutes ago
0 comments:
Post a Comment