Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, November 16, 2012

Njaa au hasira.....Duh!
Posted by BM. on Saturday, June 23, 2012

Nimerejea ndugu zanguni..baada ya kimya muda mrefu nimerejea. Naomba radhi sana, ilikuwa kikwi ya Mirindimo. Nimerudi ulingoni..habari kwa njia ya picha!..  

Posted by BM. on Saturday, June 23, 2012


Posted by BM. on Saturday, June 23, 2012

Mkurugenzi wa Kampuni ya  Wilna International -Japani- Willy Ngoya akiwa mzigoni..!

Posted by BM. on Saturday, June 23, 2012

Shughuli ya upangaji ikiendelea sasa......

Posted by BM. on Saturday, June 23, 2012

Posted by BM. on Saturday, June 23, 2012

Mazungumzo yanaposhika kasi....!

Posted by BM. on Thursday, June 21, 2012

Jaribio la kupachika picha...

Posted by BM. on Wednesday, June 20, 2012

Posted by BM. on Monday, June 11, 2012

NIMEREJEA..... Wapenzi wa ukurasa huu wa MIRINDIMO, nawaomba radhi sana kwa kutokuweka kitu kipya kwa muda mrefu. Nilikuwa na dharura. Mtandao ulipata kwikwi iliyokaa mahala pabaya. Nimesaidiwa mpaka nimekwamuka. Namshukuru sana da Subi kule Marekani kwa ushauri wake wa kiufundi na Bro. Malkiory kule Finland. Tulikuwa nao kimyax2 wakinisaidia. bado niko katika hatua za mwisho za kuirejesha vilivyo ilivyokuwa. Nawashukuru mashabiki wote wa MIRINDIMO kwa uvumilivu. Msulwa.

Posted by BM. on Monday, April 16, 2012

Posted by BM. on Monday, April 16, 2012

Hebu wajuzi wa mambo niambieni ...sanmu hizi za watu wasio na nguo zimetapakaa Ulaya , Marekani nahuko Japanikulikoni... inawezekan kuna sabu za kihistoria, kijamiii au kitu gani...elimu hapo muhimu!

Posted by BM. on Monday, April 16, 2012

Posted by BM. on Monday, April 16, 2012

Huyu mama ni mwanademokrasia wa Mynmar ...nafurahia snaavyojbu maswali...

Posted by BM. on Thursday, March 29, 2012