Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, November 30, 2008

Samba hilo la Brazil kuikaribisha Chrismas...

Posted by BM. on Sunday, November 30, 2008

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars jana Jumamosi iliikandamiza Sudan ‘Mwewe wa Jangwani’ kwa mabao 3-1 katika mechi ya kuwania tiketi ya kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za nyumbani (CHAN).

Posted by BM. on Saturday, November 29, 2008

Ufungaji mzigo uinataka Utaalamu..Picha kwa hisani ya Mpiga picha wa kimataifa -Asmara

Posted by BM. on Saturday, November 29, 2008

Mdada wa kijapani kabanwa na mafua ile mbaya ...akamua kutembea na tishu zake . Hii imekaaje!

Posted by BM. on Saturday, November 29, 2008

Yoweri Museveni akisalimiana na Mama Mulamula , Katibu Mkuu wa nchi za Maziwa Makuu. Kushoto Mh. Benjamini Mkapa Na Gen. O. Obasanjo. Wanasaka amani Kongo . Museveni ameshakwenda Kaskazini mwa Uganda kusaini Mktaba wa amani na Kony.

Posted by BM. on Saturday, November 29, 2008

Kipindupindu kila kona Zimbabwe. Watu 300 wameshaaga dunia. Usafiri na Usafirishaji...

Posted by BM. on Saturday, November 29, 2008

Mugabe must Go... Jamaa hawaelewi wako Afrika Kusini..

Posted by BM. on Saturday, November 29, 2008

Jamaa wamemzimikia ile mbaya Mugabe.

Posted by BM. on Friday, November 28, 2008

Kutoka Kushoto :Sam Nudjoma , Samora machel, Keneth Kaunda na Robert Mugabe..

Posted by BM. on Friday, November 28, 2008

Kwa habari zaidi tembelea : www.aikamangi.blogspot.com

Posted by BM. on Friday, November 28, 2008

Okee!

Posted by BM. on Friday, November 28, 2008

Kielelezo cha Umasikini uliokithiri.

Posted by BM. on Friday, November 28, 2008

Miundombinu bado.

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

Moja ya hoteli maarufu katika hifadhi za taifa , nchini Tanzania , ipo Serengeti National Park fes tu fes na matukio ya nyikani..siku moja fika hapo!

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

SNP-Watalii wanapata chai chini ya muti

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

Makomandoo wa Serikali akifanya timing

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

Damu za binaadamu imetapakaa katika mapigano...

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

Taj Mahal Hotel

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

Moja ya hoteli waliojificha watu wenye silaha..hapo Mumbai

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

Huku wengine wakipoteza maisha wengine wako kwenye viti virefu!

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

Inatajwa na vyanzo vya habari kuwa hawa ni askari wa Serikali ya DRC waliponaswa kwenye mtego wa waasi na sasa hatima yao imo mikononimwa Gen. Nkunda. Inatisha !

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

Watoto hawa wasio na hatia wanajikuta katikati ya machungu kwa uroho wa madaraka wa baba zao... Hebu kisia wakiwa watu wazima watakuwa watu wa aina gani.

Posted by BM. on Thursday, November 27, 2008

Posted by BM. on Wednesday, November 26, 2008

Mdada Tatiana wa BBA(Kulia) hatimaye anajiandaa kuolewa na jamaa yake mfanyabiashara wa Cape Town, Afrika Kusini baada ya jitihada zake kupenya kwa Richard Bezuidenhout kukwama. foto ya karibuni kabisa akielekea kwa mchumbake. Machacharriii

Posted by BM. on Wednesday, November 26, 2008

Mh. Basil Pesambili Mramba na Mh. Daniel Yona wakitoka mahakamani Kisutu Dar na wanapelekwa Segerea Rumande inaonekana masharti ya dhamana magumu.

Posted by BM. on Tuesday, November 25, 2008

Mh. Daniel Yona na Mh.. Basil Mramba wakiwa mahakama ya hakimu mkazi ya kisutu
Dar es salaam jijini dar baada ya kusomewa mashtaka . Mh. Mramba amesomewa mashataka 13 ikiwa ni pamoja na kutumia vibaya madaraka alipokuwa waziri kuingia mikataba mbalimbali ikiwemo ya madini . OOOh imeshindikana kuachiwa dhamana kwasababu ghafla kuwa na fedha taslim shillingi Billioni 3.9 kila mmoja, kukabidhi hati ya kusafiria , wawe na wadhamini wa kuaminika na hamna kutoka Dar. Du ngumu!.

Posted by BM. on Tuesday, November 25, 2008

Mh. Mramba alipokuwa Waziri wa Fedha.

Posted by BM. on Tuesday, November 25, 2008

Barack Obama alipotembelea Kenya kwa nduguze kabla hajapata Uprezident US ....ingekuwa sasa mazingira ya picha yangekuwa tofauti.

Posted by BM. on Monday, November 24, 2008

Zamani MICHAEL JACKSON:
Mfalme wa Muziki wa Pop Duniani Michael Jackson amebadili dini rasmi na kuwa muislambna sasa anafahamika kwa jina la MiQail japo kizungu linaandikwa (Mikaeel ) . MiQail mwenye umri wa miaka 50 sasa awali alivaa vazi la kike la kiislamu –baibui – na kuziba uso wake baada ya kuapa – Kushahadia kuwa yeye sasa ni mwislamu na kupita mitaani. Sherehe hizo zilifanyika nyumbani kwa rafiki yake Steve Porcaro aliyetunga nyimbo ya Thriller huko Los Angeles.
Walioshuhudia tukio hilo wanasema kuwa Jackson alikaa chini akiwa amevalia balghashi yake wakati Imam akimuongoza kushahadia. MiQail pia anakabiliwa na mashitaka ya utapeli wa paundi za Uingereza Millioni 4.7 dhidi ya Shehe mmoja wa uarabuni na anatarajiwa kutoa ushahidi katika mahakama kuu ya London mara akihitajika.

Posted by BM. on Monday, November 24, 2008

Brazameni fulani hivi!

Posted by BM. on Monday, November 24, 2008

Nyota inapowaka..

Posted by BM. on Monday, November 24, 2008

Posted by BM. on Monday, November 24, 2008

Siku chache zilizopita , Raisi wa Rwanda Paul Kagame kushoto akiwa na mshauri wake Bi. Rose kabuye jijini Nairobi kwenye ishu ya DRC . Bi Kabuye alikamatwa nchini Ujerumani November 9, 2008 na ameshasafirisha Ufaransa kujibu tuhuma za kuhusika na mauaji ya Raisi wa zamani wa Rwanda Juvenal Habyarimana kwa kumtungua kwenye ndege . Baada ya hapo yakafuatia mauaji ya halaiki. Nchi imerindima....

Posted by BM. on Monday, November 24, 2008

mmmh.. peoples voice?

Posted by BM. on Monday, November 24, 2008

Alipopata dhamana tu mapaparazi wakamvamia...

Posted by BM. on Monday, November 24, 2008

Posted by BM. on Friday, November 21, 2008

Mirindimo mika li ya ngoma lazima ianzie kwenye maadalizi kama haya( kwa Hisani Kubwa ya bambataa)

Posted by BM. on Friday, November 21, 2008

Mh. Raisi wa ufaransa Nicolas Sarkozy na mkewe Carla Bruni-Sarkozy

muda mfupi kabla ya kuingia kwenye kikao muhimu . Unasemaje !

Posted by BM. on Friday, November 21, 2008

Bi.Carla Bruni-Sarkozy , First lady Ufaransa . Yeye ni mwanamitindo na anaipenda fani yake afanyaje sasa!

Posted by BM. on Friday, November 21, 2008

Rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa na mkewe Carla Bruni-Sarkozy wakiwa katika fukwe za bahari nchini Ufaransa.

Posted by BM. on Friday, November 21, 2008

Mwanamuziki wa Kimarekani Beyonce Gisselle Knowles anatajwa na wapiga picha wa kimarekani kuwa anajua kuweka pozi la kutoa picha nzuri. Eeeh Kumbe ukipigwa piccha upozi kiaina!!

Posted by BM. on Friday, November 21, 2008

Rekodi zinaonyesha kuwa huyu ndiye mtu mnene kuliko wote duniani.

Posted by BM. on Friday, November 21, 2008

Bustani nyingi za Tokyo wakati huu zimejaa majani yanayopukutika kutoka katika miti...Kinaitwa kipindi cha pukutizi. Leo hii nilikuwa katika mitaa ya Kyodo nikivinjari.

Posted by BM. on Friday, November 21, 2008

Wakati huu watalii hupenda kwenda kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro...hakuna mvua sana.

Posted by BM. on Friday, November 21, 2008

Posted by BM. on Friday, November 21, 2008

Wapili kulia Meja Generali Mirisho Sarakikya na wis redi ni BM naelekea kilele.

Posted by BM. on Friday, November 21, 2008

Maduka mbalimbali nchini Japani hususan jijini Tokyo yameanza kuweka mapambo ya X-mas kuwavutia wateja wao kibiashara. Mwezi mmoja na ushee kabla ya tukio, du wamechangamkia.