Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, November 24, 2008

Zamani MICHAEL JACKSON:
Mfalme wa Muziki wa Pop Duniani Michael Jackson amebadili dini rasmi na kuwa muislambna sasa anafahamika kwa jina la MiQail japo kizungu linaandikwa (Mikaeel ) . MiQail mwenye umri wa miaka 50 sasa awali alivaa vazi la kike la kiislamu –baibui – na kuziba uso wake baada ya kuapa – Kushahadia kuwa yeye sasa ni mwislamu na kupita mitaani. Sherehe hizo zilifanyika nyumbani kwa rafiki yake Steve Porcaro aliyetunga nyimbo ya Thriller huko Los Angeles.
Walioshuhudia tukio hilo wanasema kuwa Jackson alikaa chini akiwa amevalia balghashi yake wakati Imam akimuongoza kushahadia. MiQail pia anakabiliwa na mashitaka ya utapeli wa paundi za Uingereza Millioni 4.7 dhidi ya Shehe mmoja wa uarabuni na anatarajiwa kutoa ushahidi katika mahakama kuu ya London mara akihitajika.

0 comments: