Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, February 28, 2009

Kenneth Douglas, 55, alitumia mwanya wa zamu yake ya masaa 16 usiku kuMfanyakazi wa chumba cha kuhifadhia maiti katika jimbo la Indiana nchini Marekani amehukumiwa kifungo baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mapenzi na maiti zaidi ya 100 katika monchwari aliyokuwa akifanya kazifanya mapenzi na maiti za wanawake.Douglas alikuwa akilewa sana pombe au madawa ya kulevya wakati akifanya uchafu wake huo ambao uligundulika baada ya polisi kufanya uchunguzi wa DNA.Douglas tayari anatumikia kifungo jela baada ya kukiri kufanya mapenzi na maiti ya msichana aliyekuwa amechinjwa, Karen Range ambaye alikuwa na umri wa miaka 19 wakati alipouliwa mwaka 1982.Hivi sasa Douglas anakabiliwa na mashtaka mawili mengine kama la mwanzo baada ya wachunguzi kupata ushahidi wa Douglas kufanya mapenzi na maiti za wanawake wawili waliouliwa mwaka 1991.Polisi wanaamini kwamba idadi ya miili ya wanawake iliyochezewa na Douglas inazidi 100 huku yeye mwenyewe amedai hakumbuki idadi yake."Huyu si mtu ni nguruwe. Siwezi kuelezea kitendo kama hicho alichokifanya cha kufanya mapenzi na maiti" mwendesha mashtaka aliiambia mahakama."Hatutaweza kujua idadi kamili ya wanawake aliowafanyia mchezo wake mchafu kwakuwa hata yeye mwenyewe hajui idadi yake". alisema mwendesha mashtaka huyo.Polisi walianza kuchunguza shughuli za Douglas baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mapenzi na maiti ya Range mwaka jana.Polisi waligundua miili mingine 15 baada ya hapo ikiwa imeishafanyiwa mchezo mchafu wa mfanyakazi huyo wa usiku wa monchwari na kufanikiwa kupata ushahidi wa DNA katika miili miwili.Mojawapo ya miili hiyo miwili iliyotoa ushahidi mzuri wa DNA ni mwili wa mwanamke aliyekuwa na mimba ya miezi sita Charlene Edwards, aliyeuliwa mwezi oktoba mwaka 1991.Douglas alihukumiwa kwa kosa la jinai kwa kutumia ushahidi wa DNA uliopatikana kutoka kwa mwanamke huyo aliyefariki miaka 18 iliyopita.

Posted by BM. on Friday, February 27, 2009

Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari huko Los Angeles, marekani katika hafla moja. Vitendea kazi ni muhimu.

Posted by BM. on Friday, February 27, 2009

Kikosi kilichokuwa chini ya Nkunda huko DRC hakijajua hatima yake.

Posted by BM. on Friday, February 27, 2009


Posted by BM. on Friday, February 27, 2009

Mikoa ya kanda ya Ziwa, Mwanza , Shinyanga na Mara unapozungumzia daladala unazungumzia baiskeli . Mia mbili tu mpaka nyumbani. Hapo Mwanza.

Posted by BM. on Friday, February 27, 2009

Poa...Hii inawachangamsha wenye teksi.

Posted by BM. on Friday, February 27, 2009

Kibaridi kimeshika kasi leo nchini Japani hususan maeneo ya Tokyo...kiasi cha kuanza kudondosha theluji...hapo imeshaaanza .

Posted by BM. on Friday, February 27, 2009

Kibaridi kimeshika ...kujifunga kisawasawa muhimu...

Posted by BM. on Friday, February 27, 2009


Posted by BM. on Thursday, February 26, 2009

Hii ni nyumba ya kiasili ya kichaga ...Hapa ni kwe...kwetu kabsa ,Mungu nife!

Posted by BM. on Thursday, February 26, 2009

Imenikumbusa mbalii saana.. Iringa kwetu

Posted by BM. on Thursday, February 26, 2009

Kwetu Kigomaa!

Posted by BM. on Wednesday, February 25, 2009

Baadhi ya akinadada jijini Mwanza wameamua kutumia vipaji vyao kusaka riziki...weye una kipaji gani! ...unakitumia?

Posted by BM. on Wednesday, February 25, 2009

Mwili mtaji..

Posted by BM. on Wednesday, February 25, 2009


Posted by BM. on Wednesday, February 25, 2009

Madaktari wanapokata tamaa........
Nyota wa vipindi vya televisheni Uingereza, Jade Goody ambaye aliolewa mwishoni mwa wiki baada ya madaktari kumwambia kuwa ana siku chache za kuishi kutokana na saratani yake kufikia pabaya amesema kwamba sasa yuko tayari kuelekea peponi.
Jade alifunga ndoa na mpenzi wake Jack Tweed katika harusi iliyofana sana mwishoni mwa wiki ikiwa ni siku chache baada ya madaktari kumtaarifu Jade kwamba kansa yake imefikia hali mbaya na kwamba nyota huyo ana wiki chache tu za kuishi kabla hajafariki.
Jade alizikusanya nguvu zake zote na kufanikiwa kusimama na kudansi kwenye harusi yake pamoja na hali yake kuzidi kuwa mbaya.Mume wa Jade, Jack Tweed ambaye bado anatumikia kifungo cha nje akitakiwa kuwa nyumbani kwa familia yake kabla ya saa moja usiku kila siku, alipewa idhini maalumu na Jack Straw kutumia usiku mmoja wa harusi yake na mkewe.Jack Tweed alifungwa miezi 18 mwaka jana baada ya kumshambulia kijana mmoja wa miaka 16 na gongo la mpira wa gofu, lakini sasa ametolewa jela akiendelea kutumikia kifungo chake nje.Jade, mama wa watoto wawili alishindwa kabisa kuficha huzuni yake aliporudi nyumbani kwake akiwa anatokwa na machozi huku akisaidiwa kutembea na mumewe na msaidizi wake.
"Amechoka sana , harusi ilikuwa nzuri sana lakini imemfanya achoke zaidi" alisema mama yake Jackiey Budden."Nilifanikiwa kutumia siku yenye furaha zaidi kuliko zote katika maisha yangu" Jade aliliambia jarida la OK! na kuongeza kwa kusema kuwa "Sasa nipo tayari kuelekea peponi".Jade aliuza hati miliki za harusi yake kwa paundi milioni 3 ambazo alisema ataziweka katika mfuko wa kuwatunza wanae wawili Bobby,5, na Freddy, 4.Jade aligundulika ana saratani wakati alipokuwa akishiriki Big Brother ya India inayojulikana kama Big Boss mwaka 2008.Jade alirudi Uingereza na kuanza matibabu katika hospitali ya Royal Marsden Hospital iliyopo jijini London.
Jade aliamua kufunga ndoa na mpenzi wake Jack Tweed siku chache baada ya kuambiwa atafariki katika wiki chache zijazo kwakuwa ugonjwa wake umefikia hatua ambayo hauwezi kutibibika tena. Fuatilia picha hizi Jade akiwa katika hali ya kawaida mitaani…hadi sasa akisubiri siku ya kifo chake…ni ngumu ! unasemaje …Fuatilia picha zake

Posted by BM. on Wednesday, February 25, 2009

Jade na mume wake muda mfupi baada ya kufunga ndoa

Posted by BM. on Wednesday, February 25, 2009


Posted by BM. on Wednesday, February 25, 2009


Posted by BM. on Wednesday, February 25, 2009


Posted by BM. on Wednesday, February 25, 2009


Mkurugenzi wa Wilna International ...Willy alikuwa miongoni wa hafla ya kuwakaribishwa wageni...!

Posted by BM. on Tuesday, February 24, 2009

Wadudu wenye aina pekee ya maisha ...Nyuki...

Posted by BM. on Tuesday, February 24, 2009

Pale Jukwaa kuu linapokuwa limeshiba..

Posted by BM. on Tuesday, February 24, 2009

Safari imeanza hiyo...Intl Paparazi akiwa na dogo...

Posted by BM. on Tuesday, February 24, 2009

Rio Carnival imeanza rasmi jumatatu baada ya kufunguliwa rasmi na rais wa Brazili aliyeamua kugawa kondomu ili washiriki na wahudhuriaji wajilinde na ugonjwa wa ukimwi.Rais wa Brazili ameamua kuonyesha jinsi anavyounga kampeni za kupunguza ugonjwa wa ukimwi nchini Brazili kwa kuwagawia kondomu watu wanaoshiriki na wanaohudhuria Rio Carnival.Rais Luiz Inacio Lula da Silva aliwarushia kondomu watu waliohudhuria Rio Carnival wakati wa ufunguzi wa Carnival hilo maarufu na kubwa duniani.Msemaji wa rais huyo alisema kwamba Rais Silva alitaka kuonyesha umuhimu wa kampeni ya Brazili ya kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi.Mwezi huu pekee Brazili itagawa jumla ya kondomu milioni 65 ikiwa ni zaidi ya kiwango cha kawaida cha kondomu milioni 45.Brazili mwaka huu in mpango wa kununua kondomu bilioni 1.2 na kuifanya iwe serikali inayoongoza kwa kununua kondomu nyingi duniani.Carnival la Rio linalofanyika kila mwaka kwa siku tano mfululizo limeanza rasmi jumatatu likishirikisha vikundi kadhaa vya ngoma na maonyesho na kuhudhuriwa na watazamaji zaidi ya 80,000 katika uwanja wa Sambadrome jijini Rio de Janeiro.

Posted by BM. on Tuesday, February 24, 2009


Posted by BM. on Tuesday, February 24, 2009


Posted by BM. on Tuesday, February 24, 2009


Posted by BM. on Tuesday, February 24, 2009

Siku ya mnada wa mazao na vitoweo...aheri inaruhusiwa!

Posted by BM. on Tuesday, February 24, 2009


Posted by BM. on Tuesday, February 24, 2009

Kiwango cha uvumilivu...

Posted by BM. on Saturday, February 21, 2009

Eneo la Chofu Nyumbani kwa Dr. Kamugisha Kazaura na waifu wake Catty kulikuwa na mjumuiko wa kifamilia. Hapo hai tebo ; Mwenyekiti wa Jumuia ya watanzania Japani-Tanzanite Dr. A. Simba (Katikati) na Mkewe Kushoto na Mdau mwandamizi kulia. Kilikuwa kikao cha kusogeza mbele wikiendi.

Posted by BM. on Saturday, February 21, 2009


Posted by BM. on Saturday, February 21, 2009


Posted by BM. on Saturday, February 21, 2009


Posted by BM. on Saturday, February 21, 2009


Posted by BM. on Friday, February 20, 2009

Noti ya Shillingi mia enzi zake , ilikuwa na thamani kubwa sana. Mshahara wa afisa wa serikali zilikuwa noti hizo mbili miaka ya themanini. Saini zilikuwa na Cleopa David Msuya , waziri wa fedha na Charles Nyirabu , Gavana wa BOT. Upooo!

Posted by BM. on Friday, February 20, 2009

Nyumbani kwa Hayati Baba wa taifa Mwl. Julius K.Nyerere. Juu mwisho nyumba yake ya zamani.

Posted by BM. on Friday, February 20, 2009

Mzee wa Macharanga, Mtangazaji wa BBC- akitangaza kabumbu huko UK .

Posted by BM. on Thursday, February 19, 2009

Ukiwa Mwanza...na unataka kuvuka ...daladala hiyo! kandamiza moyo tu.

Posted by BM. on Thursday, February 19, 2009

Waandishi wa habari waandamizi na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari walikutana Morogoro Mwezi wa pili mwaka 2008 mjini Morogoro , kujadiliana Juu ya mwenendo wa mfuko wa BIma ya afya . Picha muhimu za kumbukumbu ya tukio hilo.
Pichani ...kufahamiana na Mhariri wa Kituo cha TV Channel 10 ni muhimu. Nyuma yetu ni paparazi Charles Hillila wa Channel 10 Kituo cha Shinyanga. Nami Nikiwakilisha TBC ....Mkoa wa Shinyanga. inapendeza.

Posted by BM. on Thursday, February 19, 2009

Meneja wa Kiss FM, Mwanza Peter Omari akimakinika katika mhadhara...Uwakilishi umetulia ...

Posted by BM. on Thursday, February 19, 2009

Aliyeketi kulia ni Daniel Msangya wa TBC kituo cha Singida , BM na aliyesimama ni Vedasto Msungu wa ITV Daima!

Posted by BM. on Thursday, February 19, 2009

Mie na Mtangazaji wa Redio Tumaini Dar ...mpiganaji mwenzangu ngoja nikupe namba!

Posted by BM. on Thursday, February 19, 2009


Posted by BM. on Thursday, February 19, 2009

Bila shaka na kilaji....

Posted by BM. on Thursday, February 19, 2009

Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mwanza na kada mwandamizi wa CCM Mh. Stephen Mashishanga Kulia akiwa na Int. Paparazi na Komrade mwenzake hivi karibuni. Mashishanga ni miongoni mwa Viongozi nchini Tanzania aliye kipenzi kikubwa cha watu.

Posted by BM. on Thursday, February 19, 2009

Kwetu palee! Mifumo ya majitaka je!

Du!

Posted by BM. on Thursday, February 19, 2009


Mwanaume mmoja mwenye wivu amemuua mkewe baada ya mkewe kutaja jina la mwanaume mwingine wakati wakifanya tendo la ndoa. Colin Scully,53 amepandishwa kizimbani kwenye mahakama ya Leeds, Uingereza baada ya kumuua mkewe Tracey,39 kwa kumniga koo lake kutokana na wivu baada ya mkewe kutaja jina la mwanaume mwingine wakati wanafanya mapenzi.
Inasemekana kwamba Colin alikuwa akishuku mkewe anatoka nje ya ndoa baada ya kufanikiwa kusoma ujumbe wa simu katika simu ya mkewe lakini akaamua kufanya uchunguzi wake kimya kimya.Pamoja na jitihada zake Colin hakufanikiwa kupata ushahidi wa kuthibitisha kutoka nje kwa mkewe.Inasemekana usiku mmoja wakati wanafanya tendo la ndoa mkewe kwa bahati mbaya akamwita mumewe "Paul" jina la mwanaume mwingine.
Paul hakuwa mwingine bali ni Paul Daigton rafiki wa mkewe ambaye wako pamoja katika klabu yao ya scooter.Colin kwa hasira alimkamata mkewe shingoni na kumkandamiza kwa nguvu kwa muda mpaka alipoona mkewe hatingishiki na kumuacha na kwenda kulala chumba cha watoto wao.Inasemekana kwamba asubuhi wakati Colin akijiandaa kwenda kazini ndipo alipogundua kwamba alimuua mkewe na kuamua kupiga simu polisi "Nimemfanyia kitu mke wangu, sijui nimefanya nini".
Polisi walipofika eneo la tukio walimkamata Colin na baada ya maiti kufanyiwa uchunguzi iligundulika kwamba marehemu alifariki baada ya kukandamizwa shingoni kwa muda mrefu.Kesi yake itaendelea kusikilizwa kwenye mahakama hiyo. imekaaje hii..

Posted by BM. on Thursday, February 19, 2009

Sungusungu wa DRC; wakifanya mazoezi huko Bangadi, kaskazini mashariki mwa Kongo. Vikundi hivi vinajiandaa kupambana na majeshi ya uvamizi ya Joseph Kony ya Lord's Resistance Army. Hebu fikiria hatima ya hali hii kama haina uthibiti wa kutosha wa vikosi hivi!