Mh. Daniel Yona na Mh.. Basil Mramba wakiwa mahakama ya hakimu mkazi ya kisutu
Dar es salaam jijini dar baada ya kusomewa mashtaka . Mh. Mramba amesomewa mashataka 13 ikiwa ni pamoja na kutumia vibaya madaraka alipokuwa waziri kuingia mikataba mbalimbali ikiwemo ya madini . OOOh imeshindikana kuachiwa dhamana kwasababu ghafla kuwa na fedha taslim shillingi Billioni 3.9 kila mmoja, kukabidhi hati ya kusafiria , wawe na wadhamini wa kuaminika na hamna kutoka Dar. Du ngumu!.
DKT. MWIGULU AKAGUA MAENDELEO MRADI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
49 minutes ago

0 comments:
Post a Comment