MIRINDIMO
Nafasi ya Udhamini wa blogi hii iko wazi; wasiliana nasi sasa....
Home
Wavuti
Contact
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Mnene kuliko wote.
Posted by
BM.
on Friday, November 21, 2008
Rekodi zinaonyesha kuwa huyu ndiye mtu mnene kuliko wote duniani.
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Feedjit
Feedjit Live Blog Stats
Jiandikishe
Andika email yako utumiwe updates
WADAU MUHIMU
Issa Michuzi
Vodacom Tanzania yazindua Dira ya 2030, yawekeza zaidi ya dola 100 milioni katika uboreshaji wa miundombinu ya teknolojia kwa uchumi jumuishi wa kidijitali 14 Septemba 2025, Dar es Salaam: Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano, Vodacom Tanzania inapoadhimisha miaka 25 ya huduma hapa nchini imeweka msingi wa kizazi kijacho kwa kutangaza mpango wa kisasa wa teknolojia wenye thamani ya zaidi ya dola 100m ikiwa ni moja ya uwekezaji mkubwa zaidi wa miundombinu katika historia yake.Mpango huu wa kihistoria unalenga kubadilisha hali ya mtandao nchini kwa kuboresha huduma na kuharakisha ujumuishaji wa kidijitali katika miji na maeneo ya vijijini yaliyo pembezoni, hivyo kuunga mkono ukuaji wa taifa kwa miaka 25 ijayo na zaidi.Uboreshaji huu unajumuisha maboresho kwa maelfu ya minara ya kampuni hiyo ikiambatana miundombinu ya TEHAMA, ikiwemo jukwaa la M-Pesa. Maboresho haya yatawezesha kasi ya juu ya data, ubora wa simu za sauti, huduma adhimu za M-Pesa na pia kuimarisha usalama wa mtandao, yote haya yakijibu mahitaji ya watumiaji wa kampuni hiyo wanaoongezeka kila uchao.“Safari yetu kuelekea Dira ya 2030 imeanza rasmi,” alisema Philip Besiimire, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, “kupitia uwekezaji huu, tunaweka msingi wa miaka mitano ijayo na zaidi, ili kuwawezesha wateja wetu kupata huduma bora zaidi, kulinda mazingira kupitia teknolojia rafiki kwa mazingira na kudumisha imani ya wateja wetu, washirika na wawekezaji. Hadi sasa, zaidi ya minara 1000 imeboreshwa katika kanda ya ziwa, nyanda za juu kusini na sehemu ya kanda ya hapa nchini.”Mpango huu wa kisasa unaunga mkono Dira ya mwaka 2030 ya Vodacom Tanzania, ambayo inaweka watu, sayari na kuaminiwa kwa kampuni kuwa msingi wa kila uamuzi unaofanywa. Pia imejipambanua na ajenda ya kitaifa ya mabadiliko ya kidijitali ya nayoendelea hapa nchini, huku ikiangazia malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa.Kwa kuzingatia lengo la kampuni la kupungiuza matumizi ya nishati zisizorejesheka (Net Zero 2035), uboreshaji wa mtandao wa Vodacom Tanzania utaanzisha miundombinu yenye ufanisi mzuri wa nishati ikipunguza matumizi ya umeme kwa hadi asilimia 30 huku ikiboresha utendaji na upatikanaji wa mtandao wake. Hatua hii inaendeleza dhamira ya kampuni hiyo katika masuala ya mazingira, jamii na utawala bora (ESG) huku ikihakikisha upatikanaji wa huduma bora za kidijitali kwa maeneo ya mijini na ya vijijini.“Uboreshaji huu unahusisha teknolojia ya kisasa na utaongeza kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa mtandao wa 4G, kuhakikisha kasi ya juu ya intaneti na muunganiko bora popote ambapo Vodacom inapatikana. Tunaelekea kwenye teknolojia rafiki kwa mazingira kwa kutumia teknolojia ya Huawei ya ‘zero-bit-zero watt’, ubunifu unaoongeza ufanisi wa matumizi ya nishati huku ukipunguza uzalishaji wa kaboni, na wakati huo huo kuboresha utendaji wa 4G na 5G,” alisema Mkurugenzi wa Mtandao (Network Director) wa kampuni hiyo Andrew LupembeAliongeza kwamba zaidi ya hayo, wanaboresha matumizi ya nafasi kwenye minara kwa kuanzisha teknolojia ya redio ya masafa mengi inayowezesha masafa yote kutumia redio moja pamoja na kuunganisha masafa mbalimbali kwenye antena moja.Kadri uchumi wa kidijitali wa Tanzania unavyoendelea kukua, Vodacom Tanzania inaongeza juhudi zake kama mwezeshaji, ikiharakisha ujumuishaji wa kidijitali na kifedha, kuchochea ubunifu, na kuwekeza katika miundombinu inayowaunganisha Watanzania wote na fursa mbalimbali zinazopatikana katika kipindi hicho.
3 hours ago
BBC-Swahili
Uchaguzi Mkuu 2025: Tanzania inapitia majaribu ya demokrasia?
5 hours ago
JIACHIE
Miradi 45 ya Kisayansi Kuonyeshwa Mashindano ya YST 2025
19 hours ago
g sengo
SERIKALI YAIPONGEZA BENKI YA CRDB KUFUNGUA OFISI DUBAI
2 days ago
Dullonet Tanzania
bk8thai เว็บสล็อตอันดับ 1 เว็บยอดนิยมดีที่สุด ไม่มีขั้นต่ำ พร้อมรับ 4 เทคนิค
2 months ago
CHANGAMOTO YETU- Mubelwa
Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
2 years ago
Haki Ngowi
Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli
7 years ago
Dina Marios
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA VETERANI
10 years ago
Umoja ni Nguvu
LOOKING BACK....
12 years ago
Radio Maisha: 102.7 FM-Nairobi
TBC
cloudsfm.com
UMOJA WA MATAIFA
WAVUTI. COM
Lady Jay Dee
Idhaa ya Kiswahili ya Redio Japani-NHK WORLD
Mumyhery
Sasa ni saa.........
Dar Es Salaam Time
!-end>!-local>
Tokyo Time
!-end>!-local>
Mie..huyu hapa..
"Hatua za Maisha zinategemea milango mikuu ya fahamu".
Mashabiki wa MIRINDIMO...
Angalia zilizopita hapa...
November
(1)
June
(9)
April
(4)
March
(22)
February
(13)
January
(9)
December
(17)
November
(25)
October
(37)
September
(45)
August
(22)
July
(11)
June
(45)
May
(41)
April
(34)
March
(46)
February
(35)
January
(34)
December
(35)
November
(33)
October
(43)
September
(38)
August
(38)
July
(30)
June
(15)
May
(28)
April
(32)
March
(43)
February
(42)
January
(32)
December
(32)
November
(20)
October
(37)
September
(53)
August
(97)
July
(12)
June
(55)
May
(68)
April
(136)
March
(190)
February
(141)
January
(134)
December
(83)
November
(167)
October
(178)
September
(39)
Wadau....
free website design quote
0 comments:
Post a Comment