Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dk. Harris Mule akimtunuku Udaktari wa Heshima Rais Jakaya Kikwete wakati wa Mahafali ya 25 ya chuo hicho Nairobi ijumaa. Digrii hiyo ya heshima inatokana na jitihada zake za utatuzi wa migogoro kwa nchi za Afrika hasa mgogoro wa Kenya. (Picha na Ikulu).
Post a Comment
0 comments:
Post a Comment