Mwandishi wa gazeti la MwanaHALISISaed Kubenea akiwa na mwanahabari Pascal Mayala aliyekaa akiwa hospitalini Apollo Indraprastha,New Delhi nchini India. Mayala amelazwa hospitalini hapo akipata matibabu yaliotokana na ajali ya pikipiki aliyopata miezi mitatu iliyopita ambapo alijeruhiwa vibaya mguu wa kushoto,mkono wa kushoto na bega la kushoto na Kubenea anaendelea na tiba ya macho kutokana na kuvamiwa na kumwagiwa tindikali,ofisini kwake Januari 05 mwaka huu jijini Dar es Salaam. (Na BGeorge ) Poleni wapiganaji!
Post a Comment
0 comments:
Post a Comment