Watangazaji na wakuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Redio Japani katika picha ya pamoja leo mchana.
1 comments:
Anonymous
said...
Naipongeza sana menejimenti ya redio Japani idhaa ya Kiswahili kwa kuwekeza zaidi kwenye programu za elimu na taaluma kuliko burudani.Huu ni wakati ufaao kwenu kupata redio washirika katika eneo la maziwa makuu ili wigo wenu wa matangazo uhanikize kwa upana zaidi.
Wasalaam na shukrani; R.E.N.Njau Mdau wa redio Japani Dar es salaam,Tanzania.
1 comments:
Naipongeza sana menejimenti ya redio Japani idhaa ya Kiswahili kwa kuwekeza zaidi kwenye programu za elimu na taaluma kuliko burudani.Huu ni wakati ufaao kwenu kupata redio washirika katika eneo la maziwa makuu ili wigo wenu wa matangazo uhanikize kwa upana zaidi.
Wasalaam na shukrani;
R.E.N.Njau
Mdau wa redio Japani
Dar es salaam,Tanzania.
Post a Comment