Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, March 03, 2009

Samaki kama huyo mmoja shillingi mia tano kwa masharti kuwa masharubu yawe yanacheza ...yaani freshi...upo!

Posted by BM. on Tuesday, March 03, 2009

Treni ya Mwanza -Dar ikijiandaa kuondoka jijini Mwanza leo ..

Posted by BM. on Tuesday, March 03, 2009

Theluji inapofanya jiji kuzizima kwa baridi..hii ni usiku huu(J4..sasa 4 usiku kwa hapa Tokyo ) sawa na saa 10 jioni kwa saa za A.Mashariki.

Posted by BM. on Tuesday, March 03, 2009

Theluji imedondoka leo katika sehemu kubwa ya jiji la Tokyo. Kamarade Ndesika akijiweka sawa kabla hajaigia mtaani.

Posted by BM. on Tuesday, March 03, 2009

Hebu angalia kwa makini hiyo ngoma ...umegundua ya kabila gani nchini Tanzania...

Posted by BM. on Tuesday, March 03, 2009

Umegundua kutoka kabila gani..!

Posted by BM. on Sunday, March 01, 2009

Hiyo fasheni ya unyooaji inamuonyesha nani?.... .

Posted by BM. on Sunday, March 01, 2009


Mama Maria Nyerere na Jk Ikulu hivi karibuni.

Posted by BM. on Sunday, March 01, 2009

Kulikuwa na gulio eneo la Shibuya...vitu kwa bei poa kwenye nguo tatizo saizi...wajapani wana miili midogo sasa kama umetanuka kimbembe!

Posted by BM. on Sunday, March 01, 2009


Posted by BM. on Sunday, March 01, 2009


Posted by BM. on Sunday, March 01, 2009

Baba Baraka.

Posted by BM. on Sunday, March 01, 2009

Eneo hilo ndipo ilipokuwa ile bar marufu jijini Mwanza ya Fourways sasa kuna PPF Plaza ...imetulia.

Posted by BM. on Sunday, March 01, 2009

Piga jicho kushoto hapo..

Posted by BM. on Sunday, March 01, 2009

Moja ya Bustani jijini Mwanza..siku ya harusi lazima upite hapo ujipendezeshe...safi..