Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, March 17, 2012

Tumetembelewa na Comrade mwenzetu kutoka Kenya , Muriithi Mutiga(Kushoto), huyu ni mwandishi wa habari wa Gazeti la The Nation - huko Kenya. Kushoto kwake ni Bi. Haruka Nakamura Fundi Mitambo katika Idhaa ya Kiswahili ya Redio Japani-NHK World ,Kushoto kwake ni mtangazaji Edward Kadilo anayetokea KBC -Kenya na kushoto kabisa mie BM...

Posted by BM. on Saturday, March 17, 2012

Sikiliza tajiriba hii muhimu!....

Posted by BM. on Saturday, March 17, 2012

Jiji la Tokyo lina eneo dogo sana kama ilivyo kwa nchi yenyewe ya Japani ikilinganishwa na eneo kama la Tazania. Lakini kilichofanikiwa kwa kiasi kikubwa ni matumizi mazuri ya eneo lake, miundombinu, na mazingira ya kiteknolojia.
Kilichonifurahisha mie zaidi ni kuwepo kwa misitu kadhaa katikati ya jiji hilo nammoja wapo ni huu uliopo karibu na jengo la Makao Makuu ya shirika la utangazaji la Japani NHK World -NHK World maarufu "Yoyogi Park". Nawaza hili mbona linashindikikana kwenye miji na majiji yetu kule nyumbani Tanzania. Msitu wa Kibaha ingewezekana ...lakini vibaka wameweka makazi kiasi cha wakazi wa eneo hilo wanataka msitu ufyekwe...du...tujifunze kutoka hapa basss..! Nawaza 2 !...





Posted by BM. on Saturday, March 17, 2012

Posted by BM. on Saturday, March 17, 2012

Mh. Nape Mnauye akimsabahi Mh. Edward Lowassa...

Posted by BM. on Sunday, March 04, 2012

Hapo ndipo tulipofika sasa!...

Posted by BM. on Sunday, March 04, 2012

Hapo ndipo tulipofika sasa!...

Posted by BM. on Sunday, March 04, 2012

Homa, mafua vimetamalak katika mwili wangu... wikiend imeparaganyika... lakini si sababu ya kutozungumza na waajiri wangu...wasikilizaji!..

Posted by BM. on Sunday, March 04, 2012

JK shambani kwake Msoga...

Posted by BM. on Sunday, March 04, 2012

Fuatilia taarifa hii inajieleza yenyewe....

Posted by BM. on Sunday, March 04, 2012

Nepal's Chandra Bahadur Dangi, 72, who says he's only 22 in. (56 cm) tall, has his traditional hat adjusted by his nephew Dolak Dangi as he walks to be measured by officials, in Kathmandu.

Posted by BM. on Sunday, March 04, 2012

Raisi Robbert Mugabe akiingia katika uwanja wa Muntare nchini Zimbabwe kuadhimisha miaka 88 ya kuzaliwa kwake akiwa na wafuasi wake Lukuki..Tukio la hivi karibuni...!

Posted by BM. on Sunday, March 04, 2012

Posted by BM. on Thursday, March 01, 2012

Posted by BM. on Thursday, March 01, 2012


Kumbukumbu muhimu; boss wa Idhaa ya Kiswahili NHK Yuko Asano (Kushoto), mwanamuziki nguli Fresh Jumbe Mkuu n mie..