Mapema asubuhi leo; Haya ni mazoezi ya wakazi wa eneo la hilo na wengi wao wakiwa ni watu wazima juu ya umri wa miaka 60. Kushoto kabisa mwenye jaketi la njano ni muuguzi anayeratibu mazoezi , anasema wazee hao wako fiti ile mbaya. Haya nawe mwenzangu lini vile ulifanya zoezi...Ngoja kwanza tupige picha ya ukumbusho..
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Wednesday, October 08, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment