Watangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC -London walipata fursa ya kutembelea Kituo cha Starehe kwa watu makini maarufu -Kiluvya Pub , Mwenye fulana ya bluu yenye mistari ni Mkurugenzi wake Bw. Luwanda na kushoto kwake Naibu Mkurugenzi mama Luwanda. Pub iko kando kando ya barabara ya Morogoro karibu na Kibamba . Huwezi kukamilisha mapumziko ukiwa Dar bila kutupa jicho hapo. Habari ndio hiyo!
Amka Na BBC
48 minutes ago

0 comments:
Post a Comment