Hii ni hifadhi ya taifa ipo katikati kabisa ya Tokyo, karibu na kituo cha treni cha Harajuku. ikifahamika sana kama msitu wa miti wa Ginko. Wakati wa kipindi cha Pukutizi kinachokaribia sasa majani yanadondoka na vijiti vinabaki vyenyewe na kuleta kivutio kikubwa cha kitalii. Mwishoni mwa wiki wananchi wanafurika hapo wakifanya mazoezi, , wakipiga muziki na kunyimwaga kwa sana. Kumbe ina wezekana kuweka msitu katikati ya jiji eeh….. Swali langu ni kwamba Vipi mnazi mmoja Dar au Kibaha Pwani tukiweka kitu kama hiki kuna ubayaaa?
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Thursday, October 02, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment