Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, November 01, 2008

Bustani ya Yoyogi iliyopo jijini Tokyo inatajwa kuwa ni moja ya Bustani chache duniani iliyoko katikati ya makao makuu ya nchi yenye mazingira asili na kutunzwa vizuri na yenye huduma za burudani hususan michezo na kiwango cha hewa safi kinatajwa kuwa ni cha juu hapo..

0 comments: